Vanessa Mdee aelezea show ya ‘Gidi Culture Festival’ ya Nigeria ilivyompa mashavu

image

Vee Money akiwa msanii pekee wa Tanzania
aliyetumbuiza jukwaa moja na wasanii wakubwa
wa Afrika akiwemo Awilo Longomba, M.I, Waje na
wengine, ameelezea uzoefu alioupata awamu hii
ikiwa ni mara yake ya pili kutumbuiza Nigeria.
“Kusema kweli tumepokelewa vizuri sana ni
tofauti na vile nilivyoenda mara ya kwanza, this
time nimepata nafasi ya kufanya promo na media
nyingi kwa wingi sana, na kwasababu wimbo
wangu wa No Body But Me ndio kwanza umetoka
kidogo watu wamekuwa wametazama kwenye
mitandao na kwenye TV na wanaijua so ilikuwa
tofauti na pale mwanzoni so ni hatua nyingine
kwenye muziki wangu na muziki wa kizazi kipya
wa kitanzania.” Vee Money aliiambia
Millardayo.com
Vanessa amesema kuwa alitumbuiza mbele ya
mashabiki wa Nigeria wapatao 20,000 kwenye
tamasha hilo lililofanyika ufukweni.
“Crowd ilikuwa kubwa style ya Fiesta yaani watu
wengi sana kwanza show ilikuwa mchana na
usiku, wapo wasanii walio perform mchana
wengine waliperform usiku sisi ndio tulikuwa wa
usiku lakini mchana walikuwepo kama watu elfu
saba elfu nane, halafu usiku wakazidi wakawa
kama kama elfu ishirini.”

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑