Ushahidi wa Laiva Kuwa na Nay wa Mitego na Shamsa Ford ni wapenzi.

image

Staa mrembo kutoka Bongo Movies, Shamsa
Ford ambae hivi majuzi aliweka wazi kuachana
na mume wake ambae wamezaanae mtoto
mmoja, imebainika kuwa kwasasa yupo kwenye
mahusino ya kimapenzi na Staa wa Bongo
Fleva, Nay Wamitego.
Hivi sasa wawili hao wanaonekana sehemu
mablimbali wakiwa wapo close na kutupia
mapicha mtandaoni kitu kinachompa presha
mwadada Siwema ambae hivi majuzi
alinyang’anywa mototo na Nay Wa Mitego na
hiyo kuamua kurusha madogo mtandaoni.
Japo kuwa Nay wa Mitego yupo mstari wa
mbele kuwapondea wadada wa Bongo Movies
kwenye nyimbo zake, lakini kwenye maisha
halisi anaonekana kuwzimia sana kwani
alishakuwa na mahusia yo kimapenzi na
wadadawa bongo movies kadhaa kabla ya
Shamsa wakiwemo Nisha na Bozi.

image

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑