Rose Ndauka asema baada ya kanumba kufariki bongo movie hakuna competition

image

Kama wewe ni Mmoja wa Wapenzi wa Filamu za
Nchini Tanzania na unafuatilia Vizuri basi
utakubaliana na Rose Ndauka Kwamba Baada
ya Kufariki STEVEN KANUMBA
Rose Ndauka Ameongea na @DjHaazu na
kusema Steven Kanumba aliipigania sana Tasnia
ya Filamu Nchini Tanzania Haswa kwa jitihada
zake kukuza Wasanii wenzake ambapo kwa
Moyo wake kwa kushirikiana na Wasanii
wenzake Waliifikisha Sanaa ya Filamu Tanzania
Hapo ilipo ila hadi sasa Hakuna Hatu Nyingine
ambayo Wasanii wa Filamu Tanzania Wamepiga
Zaidi ni Kuporomoka kwa Kiwanda cha Bongo
Movie TZ.
Hta hivyo Rose ambaye yuko kwenye Tasnia ya
Filamu Nchini Tanzania kuanzia Mwaka 2007
Amesema Wao Kama Wasanii kwa sasa
wanatakiwa kushikamana na kufanya Mabadiliko
ili Kuendeleza Kile alichokuwa anakifanya
ambacho ilikuwa Kuhakikisha Sanaa ya
Tanzania Inajulikana Kimataifa Zaidi.
Cha mwisho amewataka Watanzania na Wadau
wao Kuendelea Kuwashika Mkono kwa kuwapa
Support Japo pia ainawezekana kuna Wakati
wamewadissapoint.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑