MAMIA WAMZIKA ABDUL BONGE KIJIJINI KWAO MKUYUNI, MATOMBO MKOANI MORO

image
Mwili wa Marehemu Abdu Bonge ukifanyiwa swala ya mwisho kabla ya kwenda kuzikwa
image
Mwili wa marehemu ukiwa unazikwa

HATIMAYE mdau wa muziki nchini ambaye ni
Mwanzilishi na aliyewahi kuwa Meneja wa
Kundi la Tip Top Connection , Abdul Shaban
Taletale ‘ Abdul Bonge ‘ amezikwa leo Kijiji
cha Mkuyuni kilichopo Matombo mkoani
Morogoro.
Mamia ya waombolezaji wakiwemo
wanamuziki Diamond Platnumz, Dully Sykes ,
Shetta , Shilole, Dogo Janja , Profesa J, Quick
Racka na wengineo wameshiriki mazishi ya
Abdul Bonge .
Abdul Bonge alifariki dunia jioni ya Machi 28
mwaka huu baada ya kuanguka alipokwenda
kusuluhisha ugomvi wa rafiki yake maeneo
ya Magomeni -Kagera jijini Dar es Salaam.
Mtandao huu unatoa pole kwa wanafamilia ,
ndugu , jamaa na marafiki wa marehemu
Abdul Bonge kwa msiba huu uliotokea.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU
ABDUL BONGE MAHALI PEMA PEPONI .
AMEN .

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑