WAFUASIWA CUFWAPATA DHAMANA

image

WAFUASI29 kati ya 30 wa CUF waliokamatwakwenye jaribiola maandamano ya kuwakumbuka wafuasi wenzao waliouawa mwaka 2001, Mbagala-Zakhem jijini Dar sanjari na mwenyekiti wao, Prof. Ibrahim Lipumba, mchana huu wameachiwa kwa dhamana katika Mahakamaya Hakimu MkaziKisutu.
Wafuasi hao wameachiwa leo kwa dhamana baada mwenyekiti wao kupandishwa kizimbani juzi katika MahakamaKisutu kujibu kesi ya kuhamisisha wafuasi wa chama hicho kutenda kosa la jinai kuhamasisha maandamano Januari 27, mwaka huu.
Wafuasi hao 29 walikidhi vigezo vya udhamini na kuachiwa lakini mwenzao mmoja ambaye aliendelea kushikiliwa hadi pale baada ya mdhamini wake kuchelewa kutimiza masharti ya dhamana.
Hakimu Mkazi , Emilius Mchauru alisema shauri hilo litasikikilizwa tena Februari 12, mwaka huu.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑