RACHEL SITOKI NA TID JAMANI !

image

MSANII wa muziki wa kizazi kipya ,
Winfrida Josephat maarufu kama
Rachel, amekanusha uvumi kuwa
anatoka kimapenzi na mkongwe wa
Bongo Fleva , Khalid Mohamed ‘ TID’ .

image
Msanii wa muziki wa kizazi kipya ,
Winfrida Josephat maarufu kama
Rachel,Rachel ambaye ni zao la
Nyumba ya Vipaji Tanzania ( THT ),
aliyetamba na kibao chake cha
Kizunguzungu , alisema maneno hayo
siyo mageni kwake , lakini ukweli ni
kwamba hawana uhusiano wa
kimapenzi, isipokuwa amemuweka
katika mipango ya kuja kufanya kazi
na mkali huyo wa singo iliyotamba
sana ya Zeze .
image
Mkongwe wa Bongo Fleva , Khalid
Mohamed ‘ TID’ .

Aidha alisema katika maisha yake ya
kila siku, hategemei kuhongwa vitu
au hela na wanaume , ila baada ya
kupata mafanikio kupitia sanaa ,
anaitumia kama mtaji wa kufanya
shughuli nyingine za kumuingizia
kipato na hivyo kuwa na uwezo wa
kukidhi mahitaji yake .

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑