KAJALA APATA MCHECHETO GHAFLA

image

MUIGIZAJI mwenye jina katika
filamu za Bongo , Kajala Masanja juzi
kati alipatwa na mchecheto ghafla
wakati wa shughuli iliyoandaliwa na
Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity ,
Steven Mengere maarufu kama
Steve Nyerere huko Masaki, jijini Dar
es Salaam.

image
Muigizaji mwenye jina katika filamu
za Bongo , Kajala Masanja

Katika tukio hilo ambalo Steve
Nyerere alikuwa ameandaa chakula
cha usiku kwenye ukumbi wa Great
Wall, MC wa shughuli , Chiki Mchoma
alimtaka Kajala kusimama na kutoa
neno kwa niaba ya wasanii wa kike
wa Bongo Movie , lakini cha ajabu ,
mwanadada huyo alipatwa na aibu
ya ghafla kiasi cha kushindwa
kuzungumza.
“ Ni ajabu kweli yaani, maana Kajala
tunayemjua siyo wa kushindwa
kusema kitu sehemu kama hii ,
halafu sasa alishindwa hata kutoa
sababu kwa nini hakuongea,” alisema
msanii mmoja aliyekataa jina lake
kuandikwa gazetini .

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑