DEVOTA ACHEKELEA OFISI BONGO MOVIE

image

MUIGIZAJI wa filamu nchini, ambaye
ni Katibu wa klabu ya Bongo Movie
Unity , Devota Mbaga amesema
amefurahi sana kuona kundi lao
likipata ofisi za kuendeshea kazi zao

image
Muigizaaji wa filamu nchini, ambaye
ni Katibu wa klabu ya Bongo Movie
Unity , Devota Mbaga ( kushoto
pichani ).

Akipiga stori na paparazi wetu,
alisema kwa kipindi kirefu klabu hiyo
haikuwa na ofisi hivyo akiwa kama
kiongozi muda wote aliumiza
kichwa .
“ Nina furaha mno maana siku siyo
nyingi tutahamia rasmi kwenye ofisi
zetu , naamini furaha hii si yangu tu
bali ni kwa wasanii wote na wadau
wa sanaa nchini, maana wengi
walikuwa wakilalamikia kwani ilikuwa
vigumu kutupata,” alisema .

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑