Mzungu alamzimisha housegirl kufanya mapenzi na mbwa

KHAA! Katika hali ya
kushangaza, dada wa kazi za
nyumbani (hausigeli) mkazi wa
Tabata jijini Dar aliyetambulika
kwa jina moja la Aneth,
amejikuta kwenye wakati
mgumu baada ya kudai kuwa
bosi wake ambaye ni Mzungu
amemlazimisha kufanya mapenzi

image
House girl akiwa na polisi

Mzungu huyo ambaye jina
tunalihifadhi, alidaiwa kufanya
tukio hilo la kinyama Mei 26,
mwaka huu na inadaiwa Aneth
alipomkatalia, alimtimua
nyumbani hapo kwa kumtupia
virago.
Chanzo makini kilidai kuwa,
baada ya kutupiwa virago bila
kupewa mshahara wake
sambamba na kipigo, Aneth
aliripoti tukio hilo katika Kituo
Kidogo cha Polisi cha Tabata,
Dar na muda mfupi polisi
walifika nyumbani hapo lakini
Mzungu huyo hakutoka ndani,
akakataa kuzungumza chochote.
Taarifa zilidai kuwa, baada ya
polisi kukutana na kizingiti
hicho, walimpigia simu kiongozi
wao ambaye aliwaamuru warudi
kituoni wajipange upya.

image
Umati watu

Akisimulia zaidi ishu hiyo, Aneth
alisema polisi walipoondoka
eneo hilo, umati uliochukizwa na
kitendo hicho ulikusanyika nje ya
nyumba ili kumdhibiti ‘mtasha’
huyo kwa lolote.
“Kuna jirani mmoja alipiga simu
tena kituo cha polisi alipoona
hali ya hewa imechafuka ndipo
polisi wakafika kwa mara
nyingine na difenda na
kufanikiwa kuingia ndani kwa
kutumia geti kubwa, walipofika
walikuta milango imefungwa
lakini ilisemekana aliruka ukuta
na kutimkia kusikojulikana.
“Polisi waliniambia nimpigie
simu ajisalimishe lakini
nilipompigia alisema hayupo na
kama tunamhitaji tukutane
sehemu huku na yeye akiwa na
polisi wake,” kilisema chanzo

image
Mbwa mwenyewe ndio huyu hapa

Mmiliki wa nyumba hiyo
anayeishi Kigamboni, Mr. Cris
alipoulizwa kuhusiana na ishu
hiyo, alikiri kupokea malalamiko
na manyanyaso kutoka kwa
Aneth.
Akisimulia zaidi maisha
anayoishi na Mzungu huyo, Aneth
alisema: “Alikuwa akinitafutia
sababu za kunitimua kwani hivi
karibuni kwa bahati mbaya
nilipoteza ufunguo wa ndani,
akanipiga mateke na
kunisababishia maumivu makali
mwilini kiasi cha kushindwa
kutembea.
“Lakini lililoniuma zaidi ni hili la
kunilazimisha eti nifanye
mapenzi na mbwa wake,
amekuwa akifanya hivyo mara
kwa mara mimi nikaona siyo
sawa na nilipokataa ndipo
yakanikuta hayo.”
Aneth aliripoti matukio hayo
katika Kituo Kidogo cha Polisi
Tabata na kupewa fomu ya
matibabu (PF-3) sambamba na
kufunguliwa jalada la kesi
namba TBT/RB/3132/2014/
SHAMBULIO na jalada la
uchunguzi lenye namba TBT/
IR/1829/2014/UCHUNGUZI.
-GPL

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑