Wasanii Wazidi Kufunga Ndoa, Huyu Ni Msanii Mwingine Aliyefunga Ndoa Siku Ya Jana Na Kupewa Zawadi Ya Gari Mpyaa

image

Jana ilikua ni siku ya furaha kwa
msanii “Tiwatope Savage” maarufu
kama ‘Tiwa Savage’ ambae alifunga
ndoa na mme wake “Tee Billz”
ambae walikua wachumba kwa
muda mrefu. Kabla hawajawa
wachumba Tee alikua na meneja
wa Tiwa msanii huyo kutoka nchini
Nigeria. Ndoa yao imefanyika
Dubai na ilihudhuliwa na watu
maarufu peke yake.
Katika sherehe waliyofanya usiku
wa jana msanii ‘Bank W’
aliwazawadia gari jipya wanandoa
hao. Unaweza tazama picha za
kilichojiri katika harusi hiyo.

image

image

image

image

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑