MMMHHH….!! BATULI NAYE ADAI YUPO TAYARI KUCHEZA MOVIE YEYOTE YA UTUPU..!!

image

MWANADAFADA mkali wa Bongo
Movies, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’
amefunguka kuwa kwa sasa yupo
tayari kuigiza nusu utupu kwa
sinema za nje ya nchi.
Akipiga stori mbili-tatu na kona hii,
Batuli alisema kuwa muvi nyingi
Bongo huwa zinafungiwa kwa
kukosa maadili na kwamba kama
ikitokea nafasi akaitwa nje ya nchi
kuigiza sini hizo, atakuwa tayari.
“Zamani nilikuwa nikiogopa kuigiza
nusu utupu. Wenzetu Nigeria
wameendelea na ndiyo maana
wanaigiza hata nusu utupu, kama
itatokea nafasi ya kuigiza huko (nje
ya Bongo) nusu utupu, nipo tayari,”
alisema Batuli.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑