Bifu Zito Lililopo Kati Ya Wema Sepetu Na Kajala Masanja, Zamaradi Mketema Naye Ahusishwa Ndani Ya Bifu Hilo Zito..!!

image

Zamaradi mketema, she is artist
pia ni mtangazaji wa kipindi cha
take one and action kinachorushwa
kupotia runinga vlouds tv ambacho
kinazungumzia uhalisia wa filamu
za kibongo, so zamaradi mkitema
kama ilivyokuwa ada kama
mwandishi basi aliamua kumuita
kajala na mtoto wake paulet lwa
ajili ya kufanya nao interview.
Katika interview hiyo zamaradi
alimuhoji paulet mtoto wa kajala
kuhusiana na ugomvi wa mama
yake na wema yeye anajiskiaje? So
paulete akafunguka ya rohoni kuwa
anajiskia vibaya na anampenda
sana aunt yake wema, n anatamani
waendelee tena na urafiki na
mama yake.
So guys kwa swala hilo la
zamaradimketema kuwafanyia
interview kajala na mwanae, tema
wema wamechukia na kuanza
kumporomoshea matusi zamaradi
wakidai eti ametumwa na kajala ili
amfanyie interview. But mtandao
wa makubwa haya umefanya
uchunguzi na ukagundua kuwa
zamaradi alifanya hivyo akiwa kama
muendeshaji wa kipindi na kutaka
kuwafahamisha jamii kuhusiana na
maisja ya kajala na mtoto wake.

Advertisements

One thought on “Bifu Zito Lililopo Kati Ya Wema Sepetu Na Kajala Masanja, Zamaradi Mketema Naye Ahusishwa Ndani Ya Bifu Hilo Zito..!!

Add yours

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑