BAADA YA NDIKUMANA INASADIKIKA HUYU NDIYO MSANII ANALOLIFAIDI PENZI LA IRENE UWOYA…!!

image

Siku kadhaa zilizopita kuliwahi
kulipotiwa na kuonesha picha Irene
Uwoya akimtomasa sehemu nyeti
Msanii mwenzake wa maigizo Haji
Adam na kuzua mambo mengi hasa
katika mitandao ya kijamii, lakini
haikuishia hapo wawili hawa
wamekuwa wakionekana pamoja
mara kwa mara tena nyakati za
usiku na pozi zao zinaonyesha
ishara ya mahaba,
ndipo swahilitz iliamua kumtafuta
Haji Adam lakini hatukuweza
kumpata vilevile ilitokea kwa irene
uwoya kwani namba yake ilikuwa
haipatikani ndipo tulibahatika
kupata mawasiliano ya rafiki wa
karibu na Irene ndipo akafunbguka
“Mbona hao wapenzi kitambo sema
nyiye mmechelewa kufahamu
ukweli tu” alimaliza rafiki huyo
credit : swahilitz

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑