MAPICHA:PREZZO NA VERA MAMBO HADHARANI SASA…!! WAAMUA KUACHIA PICHA WAKIWA KATIKAKATI YA DIMBWI LA MAHABA MAZITO

 
Baada ya uvumi kuenea zaidi na zaidi kuwa Prezzo anatoka kimapenzi na mwanadada Vera Sidika, Prezzo na Vera wameamua kuzidisha kuwa midomoni mwa mashabiki wao baada ya kuamua kuachia picha ikiwaonesha wakiwa katika dimbwi kubwa la mahaba, na wawili hao kila waulizwapo kuwa wapo kwenye mahusiano wamekuwa hawana jibu la moja kwa moja na mara nyingine wanasema bado muda wake, Tazama picha hapo chini ikimuonesha Prezzo akiwa kwenye dimbwi kubwa la Mahaba na Vera Sidika 

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑