HUYU NDIO DEMU MTANZANIA ALIYEKAMATWA AKIFANYA MAPENZI HADHARANI HUKO LONDON, KWA SASA YUPO JELA.

 

 

Imefahamika kwamba Shilla msichana wa kibongo aliyeko Rumande huko London/UK kwa makosa ya kufanya mapenzi in the public kumbe ni By-Sexual yaani ni msichana anayependa kufanya mapenzi na wanawake wenziwe na wanaume pia. Habari hizo kutoka huko jela zinasema kwamba msichana huyu wa kibongo ambaye ameishi huko kwa muda wa Takribani Miaka zaidi ya 10 alianza kujifunza tabia hizo akiwa huko na mpaka kufikia sasa ambapo ni gwiji kabisa wa vitendo hivyo ambavyo nchini Uganda adhabu yake ni Kifungo cha maisha. Hatma ya msichana huyo mpaka leo bado kujulikana lakini inasemekana kuna uwezekano mkubwa wa kurudishwa bongo na Serikali hiyo. Stay tuned!!

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑