Kuhusu ajali ya Bus Kugonga Treni leo February 28 Singida.

bunda2Hii ni Taarifa kutoka Mkoani Singida ambapo Habari zilizotoka zinahusisha ajali iliyohusisha  Basi la Bunda Bus lililokuwa likitokea Dodoma kwenda Mwanza asubuhi ya February 28  limegongana na Treni Eneo la Manyoni mkoani Singida.

bunda3Chanzo cha ajali hiyo hakijajulikana ingawa inawezekana  ni sababu ya Bus hilo kuingia njia ya treni,mpaka sasa idadi kamili ya majeruhi na waliopoteza maisha bado haijatangazwa,millardayo.com bado inafatilia chanzo cha ajali hii.

bunda4

bunda5

bunda1

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑