SUMAYE AUNGURUMA: AKEMEA WALA RUSHWA , MAFISADI , AMUUNGA MKONO JK

image

Waziri Mkuu mstaafu,
Mhe. Frederick Tluway Sumaye
akizungumza na wanahabari
(hawapo pichani) katika Hoteli
ya Protea Courtyard jijini Dar
leo .
WAZIRI Mkuu mstaafu ,
Mhe. Frederick Tluway Sumaye
leo mapema amezungumza wa
vyombo mbalimbali vya habari
ambapo pamoja na mambo
mengine, amezungumzia zaidi
juu ya vita dhidi ya rushwa ,
ufisadi na kwamba anamuunga
mkono Mwenyekiti wa Chama
cha Mapinduzi ( CCM) , Mhe . Dk .
Jakaya Mrisho Kikwete.
Aidha, Mhe . Sumaye amekiri
kuhujumiwa mialiko yake
mbalimbali na baadhi ya
wanasiasa ambao hakuwataja
kwa majina wenye lengo la
kumdhoofisha kisiasa.
Pamoja na hayo, Mhe. Sumaye
amemtaka Waziri Mkuu mstaafu,
Mhe. Edward Ngoyai Lowassa
kuacha kujitapa kwenye vyombo
vya habari kuwa alisimamia
vyema mradi wa maji ya Ziwa
Victoria hadi Kahama mkoani
Shinyanga kwani mradi huo
ulikuwa chini ya serikali na
yeye alikuwa msimamizi wa
kutekeleza matakwa ya wakuu
wake.
credit..gpl

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑