BAADA YA BABA YAKE BANANA ZORRO, KUKATAA KUA JAJI, TUSKER PROJECT FAME. SASA HERM B ACHUKUA NAFASI YAKE

image

Meneja wa Kinywaji cha
Tusker Bi Sialouise Shayo
akiongea na waandishi wa
habari (hawapo pichani)
wakati wa mkutano na
waandishi wa habari leo
katika hotel ya JB Belmonte
juu ya Kuchaguliwa kwa
Mtanzania Mwingine Kuwa
Jaji katika Shindano la
kusaka vipaji la Tusker
Project fame

image

Zahir Zoro akiongelea juu ya
Jaji mpya kutoka Tanzania
Hermes J Bariki (Wa kwanza
Kushoto) aliyechaguliwa na
Tusker na kuchukua nafasi ya
Zahir Zoro wakati wa
mkutano na waandishi wa
habari uliofanyika leo katika
hotel ya JB Belmonte

image

Jaji Mpya aliyeteuliwa na
Tusker Project Fame Hermes J
Bariki aka Herm B akielezea
juu ya shindano la Tusker
project fame na kuelezea
nafasi yake yeye kama jaji
ambaye amechukua nafasi ya
Mzee Zahir Zoro ambaye
alikuwa jaji kwa muda mrefu
na Sasa Herm B kuanza zoezi
la kuchuja mara baada ya
shindano hilo kuanza live
sasa kwa kuwapigia kura
washiriki. Pembeni yake ni
Jaji aliyemaliza muda wake
Mzee Zahir Zoro wakati wa
mkutano na waandishi wa
Habari uliofanyika leo katika
Hoteli ya JB Belmonte.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑