MCHEKI JAMAA ANAVYOPIGILIA MISUMARI KWA KUTUMIA KICHWA CHAKE NA KUWEKWA KATIKA RECORD

image

Huyu ni jamaa hatari kabisa
aliyefanikiwa kuwekwa katika
record za Dunia yaani Guinness
World Records.
kwa kupigilia misumari katika
Mbao kwa kutumia Kichwa chake.
Hili ni jambo la kushangaza sana
na nilipata mda wa kujiuliza
maswali mengi sana, ni kutaka
sifa za kuingizwa katika Record za
dunia au? ila sikupata
jibu…………………..????

image

image

image

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑