RADO: WALISUBIRI NIFE WANYWE POMBE

image

MSANII wa filamu na muziki
Bongo, Simon Mwapagata
‘Rado ’ amefunguka kuwa
wasanii wenzake wanaounda
Kundi la Bongo Movie
walikuwa wanasubiri aage
dunia ili watengeneze kamati
za fedha na kunywa pombe .
Akichonga na paparazi wetu ,
Rado alisema alikuwa ni
kiongozi kwenye kundi hilo
lakini kwa sasa amejitoa kwani
wasanii waliopo ndani ya
kundi hilo ni wabaguzi na hivi
karibuni alipata ajali ya gari
lakini hakuna hata mmoja
aliyemjulia hali.
“Nasikitika sana na siwezi
kuwauliza kwa nini hawakuja
kuniona walikuwa wanasubiri
nife waje watoe michango na
kuunda kamati za pombe ,
baada ya kuona kumbe kundi
hilo ambalo na mimi ni mmoja
wa waanzilishi linafanya hivyo
nimeamua kujiengua.
“Kundi limegeuka kuwa genge
la pombe , umalaya na kupiga
vijembe. Nimeamua kujiengua
na kukaa pembeni , mimi ni
jeshi la mtu mmoja sasa ,”
alisema Rado .
http://www.globalpublishers.info/m/blogpost?id=5398006%3ABlogPost%3A2687757

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑