‘Nahongwa for benefit sina tatizo na hilo’ – Linah

image

Kama wewe ni mwanaume na
unafikiria kuwa na uhusiano na
Linah Sanga, basi tafuta fedha
kwanza sababu she can’t stand
broke a*s nig**s. Anahitaji
‘Boyfriends With Benefits’.
Kwa mujibu wa blog ya
MamuAfrica, Linah haoni tatizo
kwa msichana anayehongwa
akiwemo yeye mwenyewe
kwakuwa hilo ni jambo la
kawaida ili mradi liwe na faida.
Aliiambia blog hiyo kuwa yeye
mwenyewe binafsi katika kazi
zake za ujasiriamali mtaji wake
ameupata kwa kuhongwa na
mpenzi wake na kuongeza na
fedha anazopata kwenye mishe
mishe zake.
“Kusema ukweli mimi
mwenyewe boy friend wangu
kanisaidia sana na bado
anaendelea kunisaidia,mimi
sijali mtu aseme lolote
analotaka lakini kama nahongwa
for benefit sina tatizo na hilo,”
alisema mrembo huyo.
Source:
Mamuafrica.blogspot.com

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑