KOLETA HAFIKIRII KUACHA POMBE HADI KIFO

image

STAA wa sinema za Kibongo,
Coletha Raymond ‘Koleta ’
ameibua maswali midomoni
mwa watu kwa kusema kwenye
maisha yake hafikirii kuacha
kunywa pombe hadi
atakapoingia kaburini .

image

Coletha Raymond ‘Koleta ’.
Akizungumza na paparazi wetu
Jumatatu iliyopita , Koleta
alisema pombe imekuwa tulizo
kamili la moyo wake uliojaa
majeraha ya mapenzi na
kwamba humuondoa katika
hamu ya tendo la ndoa .
“Mtu akitaka kukorofishana na
mimi anishauri kuacha pombe ,
siwezi na nitakunywa hadi siku
naingia kaburini . Pombe
inanifariji, inaondoa hamu ya
mapenzi, ” alisema Koleta
http://www.globalpublishers.info/m/blogpost?id=5398006%3ABlogPost%3A2687598

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑