JOKATE MWEGELO ATESWA NA PUMU

image

MWANAMITINDO mwenye
vipaji lukuki , Jokate Mwegelo
amefunguka kuwa hali yake
kiafya siyo nzuri ,
anasumbuliwa na ugonjwa wa
pumu.
Akipiga stori na Amani
nyumbani kwao maeneo ya
Kinondoni, jijini Dar, Jokate
alisema kuwa anasumbuliwa
na pumu ambayo huwa
inamtokea mara kwa mara
ambapo ikimtokea huwa
inaambatana na homa kali
ambayo inamfanya ashindwe
kufanya kazi yoyote .
“Naumwa jamani , pumu
inanisumbua inanitesa sana.
Inaponitokea huwa nashindwa
kufanya kabisa kazi zangu za
kila siku na vitu vyote huwa
vinalala hadi nitakapopata
nafuu,” alisema Jokate kwa
tabu.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑