DUDE ABAMBWA AKIWA NA KIDOSHO

image

STAA wa sinema za Bongo,
Kulwa Kikumba ‘Dude ’ juzikati
alinaswa na kamera ya Amani
akiwa na kidosho ndani ya gari
tayari kwa kwenda
kusikojulikana.
Dude alikutwa akiwa na
‘mzigo’ huo Mlimani City, jijini
Dar ambapo mastaa wengi
huenda eneo hilo kujiachia.
Kidosho huyo alijulikana kwa
jina moja la Fetty .
“We vipi na hiyo kamera yako
kwani kuna kosa gani mi ’
kupanda gari moja na Dude ?
Nioneshe sheria ambayo
hairuhusu mwanamke na
mwanaume kuwa katika gari
moja, isitoshe Dude ni
‘director ’ ( mwongozaji sinema)
wangu katika filamu
ninayoindaa ,” alifululiza
kusema mrembo huyo wakati
wanaondoka.
http://www.globalpublishers.info/m/blogpost?id=5398006%3ABlogPost%3A2687641

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑