Wolper ampiga bakora Diamond platinum Baada ya kununua Bonge la NDINGA……

image

Diamond Platnumz sio msanii pekee
anayemiliki Prado. Apparently,
muigizaji wa filamu, Jacqueline
Wolper aka Wolper Gambe
ameshusha mzigo mpya wa kupiga
nao misele mitaa ya Dar es Salaam.
Prado ya Jacky Wolper
Muigizaji huyo ameshare picha
kwenye Instagram ya Prado yake
mpya na kuandika: My new bebe am
in lv wth u darlng. Ila twende
kwanza nikakuvalishe kiatu na vitu
ving uzid kushne like ur mom
gambe.”
Kwenye picha hii Wolper
ameandika: Fnsh i thnk kiatu
nakofia imependeza bebe
-Bongo 5

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑