RAYUU YUPO MAHUTUTI BAADA YA KUDAIWA KUTOA MIMBA

image

Hivi karibuni zilienea habari za chini
chini kuwa muigizaji
wa filamu nchini maarufu kwa jina
la Rayuu zikidai
kuwa ametoa mimba kienyeji na
sasa yuko kitandani
angali akiuguza maumivu…
Habari hizo zilimfikia mpekuzi wetu
wa kitengo
maalumu cha UMBEA na kuamua
kumtafuta Rayuu ili atoe
ufafanuzi wa issue hiyo.
Katika utetezi wake, mrembo huyo
alizikana taarifa
hizo    na kudai kuwa yeye hana
historia ya kuchoropoa
mimba..Kilichomfanya augue  ni
maradhi ya kawaida  na
si  kutoa mimba.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑