MLOKOLE AFUMANIWA NA MKE WA MTU AKIZNI HUKO MANZESE……ADAIWA KUTUMIA KWAYA KANISANI KUMRUBUNI….!!!

image

MATUKIO na vitendo viovu
vinaendelea kushamiri juu ya uso
wa nchi! Kijana anayedaiwa kuwa
muumini wa kanisa la kilokole
(jina tunalo) la jijini Dar,  Faraji
Oti amekutwa na mazito akidaiwa
kufumaniwa na mke wa mtu
aliyetajwa kwa jina moja la Jesca,
Ijumaa lina kisanga kamili.
MANZESE, DAR
Tukio hilo lililoongeza furaha ya
Shetani, lilichukua nafasi
mwanzoni mwa wiki hii majira ya
11:00 jioni huko Manzese, jijini
Dar.
Kwa mujibu wa watu wa karibu
na wahusika hao, kisa kilianzia
kwenye simu ambapo mwenye
mke alidai kunasa mawasiliano ya
jamaa huyo na mkewe.
Ilidaiwa kuwa ukaribu wa wawili
hao ulianzia kwenye kwaya
waliyokuwa wakiitumikia kisha
kuzua mawasiliano tata.

image

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑