JWTZ LATOA UFAFANUZI KUHUSU AJIRA

image

JESHI LA ULINZI LA WANANCHI
WA TANZANIA
KURUGENZI YA HABARI NA
UHUSIANO
Simu ya Upepo : “N G O M
E”                Makao Makuu ya
Jeshi,
Simu ya Mdomo :
DSM 22150463
Sanduku la Posta
9203,
Telex :
41051 DAR ES
SALAAM,19
Septemba,
2013.
Tele Fax
: 2153426
Barua pepe :
ulinzimagazine@yahoo.co.uk
Tovuti :
http://www.tpdf.mil.tz
Taarifa kwa vyombo vya Habari
Jeshi la Ulinzi la
Wananchi wa Tanzania (JWTZ)
linapenda kuwataarifu Wananchi
wote kuwa taarifa zilizoenea kwa
njia ya ujumbe mfupi wa
maneno kupitia simu za
mkononi (sms) na mitandao
mbalimbali ya kijamii kwamba
JWTZ limeanza kuajiri
wataalamu Jeshini
(Professionals) siyo kweli na
halina utaratibu wa kutangaza
ajira kupitia mitandao ya kijamii
au kupitia simu za mikononi.
Kwa kawaida, utaratibu wa
kujiunga na Jeshi hutangazwa
kwenye Vyombo vya Habari pale
ambapo Jeshi linahitaji
kuandikisha askari wapya. JWTZ
huelekeza utaratibu wa
kuzingatia katika kuwasilisha
maombi husika kwa taarifa hii,
wananchi wote
wanatahadharishwa kuhusu
ujumbe huo unaoelekea
kusababisha usumbufu kwa
wananchi na JWTZ. Taarifa hiyo
haijatolewa na JWTZ hivyo
wananchi wajihadhari na yeyote
atakayejitokeza kuwarubuni na
hatimaye kutapeliwa kwa namna
yoyote.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya habari na Uhusiano
Makao Makuu ya Jeshi

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑