HATIMAYE SASA BBM KUANZA KUPATIKANA KWENYE ANDROID NA iOS APPLICATIONS

image

Kama ulimiss au unawish kutumia
BBM application kwenye simu yako
ya Iphone or Samsung sasa BBM
itapatikana weekend hii kwenye
simu za Android na iOS. Upatikana
ji wa BBM kwenye platform
nyingine ulitangazwa mapema
mwaka huu na C.E.O Thorsten.
Kutoka kwenye vyanzo vya kampuni
hiyo sasa hivi wamesema siku ya
jumamosi watumiaji wote wa
Android na iOS wataanza kufurahia
huduma ya BBM kwenye simu zao.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑