SIMBA, MGAMBO ZAINGIZA MIL 58/ –

image

Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom
(VPL ) kati ya Simba na Mgambo
Shooting Stars iliyochezwa jana
(Septemba 18 mwaka huu)
katika Uwanja wa Taifa , Dar es
Salaam imeingiza sh.
58,365 ,000 .
Watazamaji 10 ,241 walikata
tiketi kushuhudia mechi hiyo
namba 23 ya VPL msimu wa
2013/ 2014 iliyomalizika kwa
wenyeji Simba kuibuka na
ushindi wa mabao 6 -0 .
Viingilio katika mechi hiyo
vilikuwa sh . 5 ,000 , sh. 8 ,000 ,
sh. 15,000 na sh . 20,000 huku
kila klabu ikipata mgawo wa sh.
13,839 ,327 . 45 wakati Kodi ya
Ongezeko la Thamani (VAT)
iliyolipwa ni sh. 8, 903 ,135 .59 .
Mgawo mwingine wa mapato
hayo ni asilimia 15 ya uwanja
sh. 7, 036 ,946 .16 , tiketi sh.
2, 548 ,890 , gharama za mechi
sh. 4, 222 ,167 .70 , Kamati ya Ligi
sh. 4, 222 ,167 .70 , Mfuko wa
Maendeleo ya Mpira wa Miguu
(FDF ) sh. 2 ,111 ,083 . 85 na
Chama cha Mpira wa Miguu
Mkoa wa Dar es Salaam ( DRFA)
sh. 1, 641 ,954 .10

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑