OMMY DIMPOZ “NINA MCHUMBA MUNGU AKIJALIA NITAMUOA”..SEE PICTURE OF HER

image

Kwenye mahojiano zaidi ya ‘Sema
Yote’ aka Tell it All exclusive kwa
Bongo5, Ommy Dimpoz
amemzungumzia mchumba wake na
jinsi ambavyo anapenda kuwa na
watoto wa kike kuliko wa kiume.
“Nina mchumba, watu wengi
hawajui kuhusu mahusiano yangu
lakini nina mchumba na natarajia
Mungu akijalia ntakuja kumuoa.
Yupo nje bado anasoma. Akimaliza
shule ntamuoa,” alifunguka Ommy
ambaye kwa sasa yupo nchini
Marekani kwenye ziara ya wiki tatu.
Swali ni Je! Mchumba huyo ni
nani? Leo kupitia Instagram,
ameshare picha ya msichana
mrembo aitwaye Emmy na
kusababisha maswali mengi kama
ndiye yeye au lah.

image

Emmy
“My Biggest fan in Swiss Emmy
Mwarabu,” aliandika.
Katika hatua nyingine Ommy
Dimpoz alisema anapenda kuja
kuwa na familia ya watoto wasiozidi
watatu na anapenda watoto wa
kike zaidi.
“Lakini mimi napenda watoto wa
kike zaidi. Basi tu automatically
nimekuwa hivyo. Pengine ni
kwasababu nimelelewa sana na
mama yangu.”
Hata hivyo alisema hatopenda
kuona wanae wanakuwa
wanamuziki kama yeye.
“Kwa maisha ya muziki
ninavyoyaona na jinsi ilivyo hii kazi
nisingependa mwanangu afanye,”
alisema.
-Bongo5

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑