MNIGERIA ANASWA NA KETE 99 ZA MADAWA YA KULEVYA JNIA

image

-ALIKUWA AKIELEKEA ITALIA
KUPITIA UFARANSA
-ALIYAFICHA KATIKA MAKOPO
YA PODA NA SHAMPOO
-ADAI KUYANUNUA MAGOMENI
-UCHUNGUZI UKIBAINIKA
ATAPANDISHWA KIZIMBANI

image

image

image

Mwanamke Anthonia Ojo (25) ,
raia wa Nigeria akiwa na kete
99 za madawa ya kulevya
amekamatwa kwenye Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Julius
Nyerere ( JNIA) Dar es Salaam
jana, akieleke Roma, Italia
kupitia Paris , Ufaransa kwa
ndege ya Ethiopian Airways.
Mwanamke huyo aliingia hapa
nchini Agosti 30 akitokea nchini
Nigeria na baada ya kuhojiwa
alidai kuwa dawa hizo
alizinunua maeneo ya
Magomeni, jijini Dar es Salaam .
Kwa mujibu wa Kaimu Kamanda
wa Viwanja vya Ndege , Renatus
Chalya, Ojo anaendelea kubaki
chini ya ulinzi wa polisi kwa
uchunguzi zaidi, wakati
madawa hayo yakipelekwa kwa
ofisi ya Mkemia Mkuu wa
Serikali ili kubaini aina ya dawa
hizo, thamani yake na hatimaye
atafikishwa mahakamani .

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑