NYEMBAMBA KULIKO ZOE YAVUMBULIWA

image

Keyboard nyembamba kuliko
zote yenye upana wa nusu
milimita .

image

Keyboard hii inaweza
kutumika katika tablets na
smartphones.

Ina upana wa nusu milimita
kama karatasi
-Ina uwezo wa kutumika
katika tablets na smartphones
kama ‘touch screen ‘
-Ni wireless na inatumia
umeme mdogo
Wanasayansi katika kampuni ya
Cambridge Silicon Radio (CSR)
wamevumbua keyboard
nyembamba kuliko zote yenye
upana wa nusu milimita sawa
na karatasi . Keyboard hiyo ina
uwezo wa kutumika hata katika
tablets na smartphones kwa
kuandika chochote , hivyo
mtumiaji anaweza kuitumia
kuandikia mesegi kwenye simu
yake kama ilivyo kwenye ‘ touch
screens’. Pia inaweza kutumika
na karamu maalum kwa ajili ya
kuandikia au kuchora michoro
mbalimbali.

( PICHA ZOTE NA CSR)

posted by janjaweed!

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑