MWANAMKE AKAMATWA NA SARE ZA JESHI

image

POLISI Kanda Maalum ya Dar es
Salaam inamshikilia mkazi wa
Mwasonga, Kigamboni , Saida
Mohamed ( 30) kwa tuhuma za
kupatikana na sare za Jeshi la
Wananchi wa Tanzania (JWTZ ).
Kamanda wa Kanda Maalum ya
Dar es Salaam , Kamishna wa
Polisi Suleiman Kova , alisema
mtuhumiwa huyo alikamatwa
juzi saa 4 .00 asubuhi akiwa na
suruali saba za kombati ,
mashati yake saba , kofia zake
10, mashati mawili mepesi ya
ofisini, fulana mbili, kofia aina
ya bareti moja , viatu jozi tatu,
ponjoo moja, koti moja, begi
moja la kuweka nguo za jeshi ,
cheo kimoja cha CPL na
mikanda miwili ya kijeshi .

posted by janjaweed!

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑