UNAAMBIWA FITINA ZIPO KILA SEHEMU, ONA WALIMWENGU WALICHOMFANYIA HAMMER Q

image

Daaah kweli wabaya ni watu na sio
viatu sms hii ya chuki inasambazwa
kwa watangazaji wa maradio na tv
tangu siku tulipomaliza kufanya
interview CLOUDS nadhani ilikua
siku ya jmos tumejikuta tukipokea
cm nying toka kwa watangazaji
nakutwambia kua wanaskia
tumewazungumza vibaya katika
interview ya clouds tena kwa
kuwataja majina hivi kama
ulibahatika kufatilia kile kipindi
uliskia tukataja jina la radio au la
mtangazaji yyt????? Sms yenyewe ni
hii hapa nimeforwadiwa na
mtangazaji wa passion fm.
NYAWANA mambo vp ? Ulickia
hamer q na salha walivo
wakashifu watangazaji ? Ucjaribu
wala kupiga nyimbo zao ili
wakione mana wanajua dunia
wanaitawala wao
kwakweli sijamuelewa huyu mtu
analengo gani kwetu maana huku
nikuharibiana sijui hata
tumemkashifu nani, nilikua
naskiaga tu vita vita kumbe mpaka
kwenye sanaaa dah kweli penye
riziki hapakos fitina,

posted by janjaweed!

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑