Fraizer Campbell awaua Man City

image

leo ilikua ni siku njema kwa mshambuliaji wa zamani wa Manchester United Fraizer Campbell ambaye katika mechi iliyochezwa leo jioni aliwafungia magoli mawili timu yake ya sasa ya Cardiff City kutoka Wales ya magharibi katika ligi kuu ya Uingereza. Katika mechi hyo Cardiff City ilitoka kifua mbele kwa magoli 3 dhidi ya magoli 2 ya Manchester City.

posted by janjaweed!

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑