KALI YA LEO: RONALDINHO ATOBOA SIRI: WAKATI NIKIWA BARCA KABLA YA MECHI NILIKUWA NAFANYA MAPENZI

dinhoteethMwanasoka bora wa zamani wa dunia, mbrazil Ronaldinho Gaucho amezungumza na jarida la picha za kiutuzima PLAYBOY na kutoboa siri kwamba wakati akiwa anaichezea klabu ya FC Barcelona mara nyingi kabla ya mechi hasa za nyumbani alikuwa akifanya ngono kabla ya kwenda kuungana na wenzie kwenda uwanjani.

Akizungumza na PLAYBOY BRAZIL, Ronaldinho ambaye hivi karibuni alifanyiwa upasuaji wa kurekebisha fizi zake alisema: “Wakati nikiwa Barcelona mara nyingi nilikuwa nafanya mapenzi kabla ya mechi, na kwangu halikuwa tatizo bali faida kwa kiwango changu uwanjani, ilinisaidia kuwa katika hali ya furaha kabla ya mchezo na hvyo kunifanya nicheze vizuri.
 Ronaldinho pia aliliambia jarida hilo kwamba sasa ameacha ukicheche na ametulia na mwanamke mmoja ampendae kwa dhati, “Nimezama penzini sasa, Nina mchumba na maisha yangu naishi kwa utulivu zaidi. Huko nyuma nilikuwa sio muaminifu kwenye mapenzi, lakini sasa sina mpango wa kuwa namna hiyo. Mara ya kwanza nimeshiriki tendo la ndoa nilikuwa na miaka 13 na jirani yangu, hakikuwa kitendo kizuri kwa sababu bado tulikuwa watoto.

Advertisements

One thought on “KALI YA LEO: RONALDINHO ATOBOA SIRI: WAKATI NIKIWA BARCA KABLA YA MECHI NILIKUWA NAFANYA MAPENZI

Add yours

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑