KIROHO SAFI BONANZA NDANI YA BUHARE CDTI TAREHE 1 JUNE 2013

Katika chuo cha maendeleo ya jamii Buhare kilichopo Musoma Mara, jumamosi ya tarehe 1 mwezi wa sita mwaka huu..kutakua na bonge la bonanza kwa wanafunzi wote kuanzia wa diploma mpaka cheti..bonanza hilo ambalo linaletwa kwenu na Kiroho Safi entertainment litakua bonge la bonanza! Washabiki mbalimbali waliopo karibu wanakaribishwa..picha hapo chini ni baadhi ya wajumbe wa kamati ya bonanza wakifanya yao

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out / Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out / Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out / Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out / Change )

Connecting to %s

Up ↑